Ni Kweli kuwa Huddah Monroe amesota.

 

Huddah Monroe
Huddah Monroe

 

Socialite anayetisha sana nchini Kenya kwa kuishi maisha ya kifari na kula sheshena mastaa tajika wa kimataifa akiwemo Wizkid na Timaya wa Nigeria auza magari yake.

Huddah ambaye amekuwa akionekana akiwa na gari aina ya Range Rover  aliandika kwenye ukura wake wa instagram kuwa ameuza magari yake.

Huku akipinga madai kuwa amefilisika na kusisitiza kuwa ni uamuzi alioufanya mwenyewe na bado ana uwezo wa kununua gari lolote analolitaka wakati wowote .

 

 

Total Views: 552 ,