NEY WA MITEGO AJIPATA PABAYA

ffffffffffffffffffffff

Basata limedai kuwa wimbo wake Ney haifai kutumiwa popote.

Aidha Msaani Huyo anaendelea kuwa chini ya Ulinzi Mkali wa Polisi tangu alipokamatwa siku ya jumapili  March 26 .

Ney amekamatwa baada ya kuachia wimbo Wapo ambao ulionekana kuikashifu serikali ya rais Magufuli.

 

 

Total Views: 539 ,