Nataka Kungara zaidi aseama Kingatua

Kiungo wa klabu ya Bandari David Kingatua amesema anapania kufanya vyema zaidi katika majukumu yake na kuisaidia klabu yake kuendelea kutetea ubingwa wa ngao hiyo.

Nyota huyo aliyekuwa akiwajibikia vilabu vya Nairobi City stars na Thika United aliisadia klabu ya Bandari kufikia awamu ya 16 katika kipute hicho walipoizamisha Nakumatt Fc 2-1.

Total Views: 316 ,