Nataka kufikia Kiwango cha Roy Keane – Asema Wanyama

Nyota wa timu ya taifa ya harambee stars na kiungo wa klabu ya Totenham Victor Wanyama amenukuliwa na vyombo vya habari uingereza akisema angependa kuipiga soka na kufikia kiwango cha Roy Keane ambaye ni nyota wa zamani wa klabu ya Man united.

Keane ambaye ni raia wa Ire Land ameshinda mataji 19, 17 kati yazo akiwa klabu ya Man united klabu aliyoichezea mara 480m huku akiwajibikia timu yake ya taifa mara 67.
Wanyama amekuwa kiungo muhimu tangu kusajiliwa kwake katika klabu ya spurs.

Total Views: 412 ,