Napenda ligi ya uingereza – asema Griezmann

Tetesi zinasema kuwa nyota wa klabu ya Athletico Madrid Antoine Griezman anapania kujiunga na klabu yeyote ya nchini Uingereza huku akionekana kuimezea mate Ligi hiyo inayopiga hela ndefu katika ligi za ulaya..

Aidha raia huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 25 aidha hajaweka bayana ni wapi hasa angependa kutua.

Total Views: 331 ,