Mwanamume India Ataka Kulipwa na Babake kwa kuharibu Kanda zake Chafu

Mwanamume mmoja huko India amewapeleka wazazi wake mahakamani akitaka wamulipe kwa kuharibu kanda zake za video za picha chafu maarufu porn.

Jamaa huyo ambaye anajulikana kama Charlie anataka wazazi wake kumlipa dola  elfu 86, 822 sawa na shilingi milioni 8.9 za Kenya.

Jamaa huyo anasema pesa hizo zinajumuisha shilingi milioni 2.9 za Kenya alizotumia kununua kanda hizo  na pesa zinazosalia itamulizimu kunanua filamu mpya.

Inadaiwa kuwa Charlie aliondoka kwao mwezi 10 iliyopita kutokana na mzozo wa kinyumbani. Lakini wazazi wake walimsafirishia mizigo yake bila kuweka kanda hizo ambazo anaamini kuwa ziliaharibiwa na babake.

Babake anasema kuwa kuharibu kanda hizo zinanuia kumsaidia kurekebikika haswa baada ya kutimuliwa katika chuo kikuu kutokana na kuuzia wanafunzi wengine kanda za video chafu.

Total Views: 28 ,