Mwanamume Aliyempenda Komba Mwiko

Yuma Shinohara mwenye umri wa miaka 25, kutoka Japan alikuwa mpenzi wa Komba mwiko kwa kipindi cha mwaka mmoja .

Shinohara, alimpa mpenzi wake  jina Lisa na anasema alimpenda sana na amekiri kuwa mawazo ya kufanya naye mapenzi yalimzonga kila uchao hali iliyomfanya kumpanda zaidi.

Jamaa huyo anayependa wanyama maarufu kama  entomophagist  anasema alitafakari kila mara nikujiweka katika nafasi ya mdudu huyo; na mdudu huyo katika nafasi yake na kuwaza kulala naye kitandani.

Lakini baada ya Lisa wake kufariki alimula!

Picha kwa Wahisani

Total Views: 110 ,