Msichana niliye mpachika mimba ni mmoja – Wynas

Msichana niliye mpachika  mimba ni mmoja – Wynas

Msaani wa wynas 2Wynas the playbowy  amekana madai kuwa amewapachika mimba zaidi ya wasichana wanne mjini Nairobi wakati alipokuwa akifanyakazi na BigDreams Chini Yake RickyBekko.

huyu hapa wynas akuzungumza kuhusu madai ya kuwapa wasichana uja uzito

Akizungumza na Ken1gb kwenye kipindi cha Tsa254 Wyanas amesema kuwa Ricky Bekko ametoa tarifa zisizokuwana ukweli wowote kumhusu na kusisitiza ni mwanake mmoja ambaye amekuwa naye uhusiano ulipelekea wao kujaliwa mtoto mmoja.

Aidha amesema kuwa Ricky Bekko ndiye aliyesimamisha mkataba wake ndani ya Bigdreams baada ya kufanya naye kazi kwa kipindi cha miaka mitatu.

Haya hapa mahojiano kati ya wynas na Ken1GB aakitoa sababu za kusitishwa kwa mkataba wake bigdreams

 

 

Total Views: 111 ,