MISOKOTO 1,705 YA BANGI YAPATIKANA

Polisi kaunti ya Mombasa wanawazuilia washukiwa wawili akiwemo mwanamke waliokamatwa na misokoto mikubwa 1705 ya bhangi.

Kulingana na kamanda wa polisi Johnstone Ipara washukiwa hao walikamatwa katika eneo la shanzu wakiwa na mihadarati hiyo.

Wawili hao wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha central wakisubiri kufikishwa mahakamani.

Picha hisani.

Total Views: 37 ,