Mgonjwa Apona baada ya Kumuminiwa Pombe

Madktari katika hospitali moja huko Vietnamese walilazimika kumuminia bia 15 za pombe mgonjwa mmoja aliyekuwa amezirai baada ya kukumbwa na tatizo la sumu ya pombe.

Bwana huyo alilimininiwa pombe hiyo kila baada ya saa ili kudhibiti maini yake kuzalisha methanol ambayo ingemuathiri sana.

Le Van Lam daktari mkuu wa hospitali ya umma ameelezea kuwa walianza kumupa mgonjwa  huyo bear moja  kwa sababu viwango vya methanol mwilini  mwake vilikuwa zaidi ya elfu moja ya viwango vya kawaida.

Daktari Lav Van anasema mgonjwa huyo alibakia kuzarai hadi akamiminiwa bia 15 ili kupunguza viwango hivyo vililivyokuwa vinaathiri maini yake.

Na baada ya kupokea bia 15 kila baada ya saa  mgonjwa huyo alichangamuka na kuamuka

Picha kwa Hisani.

Total Views: 92 ,