Mashindano ya Kondoo

Mji mmoja huko New Zealand uliandaa mashindano yam bio ya mamia ya kondo kwenye tamasha lao  la kila mwaka la mashindano yam bio za kondoo.

Kondoo hao walikimbia kwenye barara za mji japo kwa pamoja sana. Kondoo wengi walikimbia wakiwa pamoja na wengi pia kukamilisha shindano kwa pamoja.

Na pia kulikuwa na kikundi cha kutoa huduma za kwanza ambacho kiliweka  video ya kondoo hao   wakikimbia kwenye mji huo unaotambulika  na ulimwengu kama mji wa kunyoa .

Total Views: 28 ,