Mashabiki uhispania wataka Morata kuadhibiwa..

Waandishi wa jarida moja la spoti nchini uhispania wanataka mchezaji wa klabu cha Chelsea alvaro Moratta kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa kile wanachotaja mchezaji huyo kuonyesha ishara ya matusi kwa mashabiki wa klabu cha Barcelona katika mechi ya dimba la klabu bingwa kwa soka ulimwenguni..

Moratta ambaye aliingia kama mchezaji wa ziada kipindi cha pili alionekana kushika uume wake akielekeza kwa mashabiki wa Barcelona baada ya chel;sea kufungwa bao lapilli kisa ambacho mashabiki wa soka nchini uhispania wanataka aadhibiwe vikali na usimamizi wa klabu cha Chelsea..

Total Views: 137 ,