Marcos Rojo akoleza wino kandarasi mpya hadi 2021

Beki wa klabu cha Man united Marcos Rojo ameongeza mkataba wake ndani ya klabu hicho hadi mwezi juni mwaka 2021.
Licha ya kukumbwa na majeraha mwanzoni mwa msimu na kusalia kutinga mechi 7 pekee beki huyo amesalia kuwa mlinzi wa kuaminiwa kwa kikosi cha Man united.
Alijiunga na klbu cha man united mwaka 2014 kutokea klabu cha Sporting CP.

Total Views: 233 ,