MARAPPER WENYE HELA 2018

MARAPPER WENYE HELA 2018

ORODHA YA MARAPPER WANAOTENGEZA HELA NYINGI DUNIANI IMETOLEWA NA JARIDA LA FORBES HUKU RAPPER JAY-Z AKISHIKILIA NAFASI YA KWANZA.

 

  1. Jay z- $76.5
  2. Sean diddy combs – $64 million
  3. Kendrick lamar- $58 million
  4. Drake-$47 million
  5. J cole- $35.5 million
  6. Dr dre -$35 million
  7. Nas -$ 35 million
  8. Pitbull-$32 million
  9. Future -$30 million
  10. Kanye west -$ 27.5 million

jayz 2

 

 

 

 

 

 

 

 

 
LAKINI JE UNAFAHAMU NI VIPI WASANII HAWA WA HIP HOP WANAVYOTENGENEZA HELA HIZO???

1. Imebainika kuwa ma-rapper wengi wameanzisha kampuni zao za kuuza bidhaa kama T-shirts , kofia yaani cloth line.

2. Tour- marapper hutegemea tours ambapo rapper wa kawaida marekani hufanya tour kama tano baada ya kuachia album, tour hizi hudhaminiwa na kampuni za mauzo .

3. Mauzo kupitia mtandao wa youtube – marraper wengi hupata pesa kutokana na video za mauzo zinazowekwa kwenye nyimbo zao ambazo wameziweka youtube.

4. Ufadhili na matangazo – ngoma nyingi za wasaniii wa hipihop zimetumika kufanya mauzo na pia wasanii wa hip hop wametumika  kama mabalozi  wa bidhaa mbalimbali kama vile Rickross na kinywaji cha belaire.

5. Digital royalities- endapo muziki wao utachezwakwenye redio  au vilabuni.

 

 

 

 

Total Views: 184 ,