Manager wa Dazlah: Pesa anazodai Designer haziwezi msaidia

Manager wa Dazlah: Pesa anazodai Designer haziwezi msaidia

Manager wa Masaani Dazlah Kiduche  Tee Hits amepinga madai kuwa alikataa kumlimpa designer Mariageseli Nyange aliyetayarisha baadhi ya mavazi yaliyotumika kwenye video shoot ya wimbo mpya wa Dazlah akimshirikisha legendari  JuaKali ambao bado unatayarihswa.

tee hits 2

Akizungumza kwenye kipindi cha MashavMashav Tee hits amedai kuwa pesa anazodai designer huyo (1500ksh) hazikuwa katika makubaliano yao ya awali

Msikilize Tee Hits

Kwa upande wake Nyange alisema kuwa katika makubaliano Tee hits alifaa kugharamia nauli hadi katika eneo la video shoot na gharama ya kupanga mavazi lakini Tee Hits akamlipa gharama ya nauli pekee.

 

Total Views: 95 ,