Mamake Ali Kiba kutua Mombasa Kesho.

Mamake Ali Kiba kutua Mombasa Kesho.

Shamra shamra za harusi yake msaani wa bongo Fleva nchini Kenya zimenoga na tayari kadi za mwaliko zimetolewa kwa jamaa na marafiki

watakao hudhuria shehere hio.

Blogger Ommy Dallah kwenye mahoiano na Pwani Fm amesema kuwa mamkiba3ake alikiba  kaka yake Abdul Kiba na wanatarajiwa kuingia Mombasa Kesho kwa minajili ya sherehe ya Kwanza itakayo fanyika siku ya Alhamisi.

Aidha huenda tarifa za awali kuwa msichana atakaye funga ndoa na Ali kiba ni jamaa wa familia Gavana Joho zisewe za kweli.

Sauti ya mahojiano kwenye kipindi cha MashavMashav –  PwaniFm  9am-12noon

Total Views: 633 ,