Maandamano, CORD

Viongozi wa mrengo wa upinzani wakiwemo wabunge kutoka hapa Mombasa wanaongoza waandamanaji kushinikiza kutimuliwa  kwa tume ya  IEBC mamlakani

Hata hivyo shughuli zimetatizika  mapema leo na kusababisha  baadhi ya biashara kufungwa kufuatia maandamano hayo huku umati wa viongozi hao na wafuasi wao wakitawanywa na polisi waliokuwa wakishika doria .

Maandamano ya mrengo huo yameingia juma la nne sasa.

 

Total Views: 377 ,