Lopez Kutua “The Blues” hapa patamu!

Klabu ya Chelsea wako katika kikomo cha kufunika deal kubwa ya kunasa huduma za kipa Diego Lopez kutokea klabu ya Ac Millan.

Taarifa kutoka darija moja nchini Italia zinasema kipa huyo atakua anatua Stamford Bridge kutwa nafasi ya Begovic ambaye atakuwa anaondoka.

Kipa huyo mwenye umri wa miaka 34 alijiunga na millan kutokea klabu ya Real Madrid mwaka 2014.

Total Views: 372 ,