Ligi kuu ya kitaifa Yaingia mechi za 21

Ligi kuu ya kitaifa inaingia mechi zake za 21 na ifuatayo ni ratiba ya mechi hizo

Jumamosi…..
AFC Leopards v Ushuru Mumias Complex 14:00
Western Stima v SonySugar Afraha Stadium 15:00
Mathare United v Tusker Kasarani Stadium 16:15
Jumapili…
Gor Mahia v Bandari Moi Stadium 14:00
Sofapaka v City Stars Machakos Stadium 15:00
Thika United v KK Homeboyz Ruaraka 15:00
Chemelil Sugar v Muhoroni Youth Chemelil Stadium 15:00

Kwenye mechi hizi jumla ya wachezaji watano watakosa kushiriki kutokana na kupewa kadi nyekundu na mrundiko wa kadi za njano mtawalia.

Total Views: 389 ,