LALAMA ZA WAVUVI MOMBASA

Wavuvi na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kaunti ya Mombasa,sasa wanaitaka serikali iwaregeshee bandari zinazotumiwa na wavuvi ambazo zimenyakuliwa na watu binafsi.

Wakaazi hao wanadai takriban bandari 50 zimenyakuliwa na mabwenyenye na watu binafsi.

Wavuvi hao wanasema kuwa hatua hiyo imeathiri pakubwa shughuli zao za uvuvi

Aidha wameilaumu tume ya kitaifa ya ardhi wakidai imekuwa ikitoa bandari hizo kwa wawekezaji.

Picha hisani.

Total Views: 56 ,