Kweli fisi ni fisi Haijalishi yuko wapi

PATO 2

Msaani toka nchini Nigeria PatoRanking amepinga madai kuwa ushindani wa mziki nchini humu hasa kutoka kwa wasaani chipukizi ndio uliomfanya kutorokea kwenye mziki wa Reggea.

Patoranking ambaye amevuma na vibao kama Bend and Pause na My woman amesema kuwa vipusa ndio waliofanya yeye kuanza kuimba Reggea.

“Ni kiwa chuoni ilikuwa vigumu kupata mabinti bila ya kuwa na uwezo wa kutema mistari ya nyimbo za wasanii tajika” alisema PatoRanking.

Alisema licha ya kuwa uamuzi huo unaonekana kuwa mzaha alitumia muda wake mwingi kusikiza nyimbo za Bob Marley na Lucky Dube.

Total Views: 517 ,