Kliniki za kibinafsi Mombasa,waachilieni huru wenzetu au tusitishe huduma

Madaktari walio na kliniki za binafsi wanataka madaktari wenzao saba waliofungwa jela waachiliwe huru bila masharti na wametishia kufunga kliniki za binafsi katika muda wa saa 48 zijazo.

Wakati wa mkutano na waandishi wa habari chama cha madaktari hapa nchini kimethibitisha kwamba madaktari walio na kliniki binafsi hapa Pwani wamekubaliana kufunga kiliniki zao.

Mwisho

Total Views: 307 ,