KILIMO CHA PAMBA KWALE

Wakulima kaunti ya kwale wamehimizwa  kuzingatia  kilimo cha pamba  kama njia mojawapo  ya kufanikisha biashara  ya pamba  humu nchini

katibu  wa  vyama vya ushirika  kaunti ya Kwale Jackson Ndurya   anasema kwamba serikali  sasa  imejitolea  kuwasaidia   wakulima  wa pamba  kwa kuwapa mbegu  mpya  ya pamba iliyorutubishwa  ili kuimarisha kilimo cha zao hilo.

Wito huo unajiri baada ya kubainika kwamba  kuna upungufu mkubwa wa pamba sio hapa nchini Kenya pekee bali hata soko la dunia.

Picha hisani.

Total Views: 64 ,