Kibeti Kilichopotea India Chapatikana Baada ya Miaka 60

Kibeti kilichopotea nchini  India miaka 60 iliyopita hatimaye kimepatikana na kitarejeshewa mwenyewe hivi karibuni.

Wafanyakazi wa shule ya  upili ya Jeffersonville walipata kibeti cha Martha Everett  kwenye kabati za darasala la sayansi alikokuwa mwanafunzi mwaka 1955.

Kwenye kibeti kilikuwa  bado na kadi ilyoalikwa kucheza dansi kwenye shule hiyo, picha zake, lipstick na fruit gum.

Wafanyakazi hao waliamua kuweka viti hivyo kwenye mtandao wa Face book na wasamaria wema wakamtafuta mama huyo aliye sasa yuko na miaka 82 na anaishi Florida.

Total Views: 89 ,