Kiba Adhihirisha kuwa yeye ndiye King Afrika Mashariki.

 

Ali Kiba Adhihirisha kuwa yeye ndiye King Afrika Mashariki.

Msaani Ali Kiba medhihirisha kuwa yeye ndiye king nchini Tanzania Baadaya Wimbo wake Mpya Seduce Me kufikisha views zaidi ya 1 millioni chini ya Msaa 38.

Ali kiba ambaye kwa sasa yuko chini ya Label ya Rockstar4000 amewapongeza mashabiki wake, baada ya kuachia wimbo huo siku ya Ijumaa na kuvunja rekodi ya awali ya video ya msaani diamond SalomeDIAMOND

Aidha bifu katika yake na Msaani Diamond inaonekana kushika kasi kwenye mitandao ya kijamii baadaya wao kuachia wimbo mpya unaojulikana Zilipendwa ambao umezidi kugawanya mashabiki wao.

 

Total Views: 474 ,