KERO LA WANYAMA PORI TAITA

Wakaazi wa Mwatate kaunti ya Taita Taveta wamelilaumu shirika la huduma kwa wanyama pori KWS kwa kile wanachokitaja kuwa kufumbia macho swala la wanyamapori kuvamia makaazi ya watu.

Wakaazi hao wanadai kuwa licha ya hasara na changamoto wanazopitia kutokana na wanyamapori huku viongozi wa idara hiyo katika kaunti hiyo  bado wamesalia kimya.

Hayawani hao wanasemekana kuathiri zaidi wakulima  sawa na wanafunzi ambao mara nyingi hulazimika kusalia nyumbani kwa hofu ya kushambuliwa na wanyamapori hususan ndovu,  wanaorandaranda katika makaazi ya watu.

Picha kwa hisani

Total Views: 57 ,