Jumba Jipya La Adele La Pagawisha.

Baada ya kuficha kwa muda mrefu imegundulika kuwa Adele amenunua jumba la kifahari lenye thamani ya dola milioni 9.9.

Jumba hilo lililopo Los Angeles lina vyumba vine vya kulala, mabafu sita na bwawa kubwa la kuogelea huku nyumba hiyo ikiwa karibu na mastaa kama Jennifer Lawrence, Ashton Kutcher, Mila Kunis, Cameron Diaz, Nicole Richie.

Aidha siku chache zilizopita Adele alidaiwa atasaini dili na kampuni ya Sony lenye thamani ya paundi milioni 90 na kumfanya utajiri wake kuongezeaka mara mbili zaidi.

Total Views: 486 ,