Joshua Chome

Anasimamia kitengo cha habari na asema kuwa kazi hiyo humuacha hoyi kwa sababu inamsaidia kuuanganisha wasikilizaji wake na dunia nzima.

Uepesi, uaminifu kufanya kazi kwa bidii na kujifunza kutokana na kukosa ni mambo inayomtia motisha kuafikia malengo yake.

Ana ujuzi na talanta ya kucheza guitor na ngoma na yeye hufanyia kazi hiyo kanisa lake huku Shanzu na asema ndio maana Jumapili ndio siku bomba kwake.

Pia Joshua anaendesha kipindi cha injili cha ‘Wakati wa Upenyo,’ kila siku ya Jumamosi saa mbili usiku hadi usiku wa manene.

Anapenda samaki kwa sababu ilitumiwa na Yesu kuwalisha umati wa watu elfu tano. Pia mchicha na sima humukamilishia siku yake vizuri.

Total Views: 1957 ,