JERSEY #5 ZENYE MAUZO DUNIANI

OZIL POGBA RONALDO ZLATAN

expensive jersey in the world
expensive jersey in the world

JERSEY #5 ZENYE MAUZO DUNIANI

Rais wa Real Madrid amefunguka na kusema kuwa club yaHio imekuwa ikiwasajili wachezaji wenye majina makubwa ilikuingiza kipato kutokana na mauzo ya Jersey ambao inaonekana kuwa kitega uchumi kikubwa kwa vilabu vingi barani ulaya.

Ametowa mfano wa sajili ya David Beckham Cristiano Ronaldo, James Rodriguez, Lius Figo na Ronaldo Luiz Nazario

Kwa sasa Hizi ndizo jersey 5 zinazo ingiza hela duniani 2017.

1.Lionel Messi

2. Cristiano Ronaldo

3.Paul Pogba

4.Zlatan Ibrahimovic

5.Mesut Ozil

6.David De Gea

7.Phillipe Countinho

8.Alexis Sanchez

9.Sergio Aguero

Total Views: 409 ,