Je ni kweli kuwa uhusiano wa zari na Diamond ni wa Kibiashara.

Je ni kweli kuwa uhusiano wa zari na Diamond ni wa Kibiashara.

Socialite tokea taifa la Uganda Zari amesema kuwa hana pressureya kufunga ndoa na Diamond licha ya wao kuwa na watoto wawili.

Akizungumza na kituo kimoja cha radio nchini Tanzania baada ya kuulizwa ni kwanini hawajafunga ndoa rasmi  licha ya kuwa  tayari wameanzisha familia

Zari ameadi kuwa kwa sasa malengo yao nikuiendeleza kiuchumi na kuwekeza pesa za kuwezakuwakimu watoto wao kabla ya kufikiria swala la kunga ndoa.

Kwa sasa Diamond amefichua kuwa anapanaga kutembelea familia yake Zari Nchini Uganda Kupata Baraka za wazee wake.download (2) download

Total Views: 394 ,