Jambazi atumia Parachichi Kuiba kwenye Benki

Jambazi mmoja huko Israel ametumia tu  parachichi maarufu avacodo kupora makarani wa benki tofouti.

Jambazi huyo mwenye umri  wa miaka 47 anadaiwa kuingia kwenye benki na parachichi  lilikuwa limeandikwa juu kuwa ‘Mimina hela au ni kurushie gurunade hili.’

Makarani wa benki hizo walijawa na uoga na kumpa pesa walizokuwa nazo mkononi huku wakifikiri kuwa parachichi lilikuwa grenede kweli.

Alifauli kujizolea dola 8,400 sawa na takriban shilingi eflu 84 za Kenya.

Total Views: 7 ,