Jamaa wa Kulamba Choo

Jamaa mmoja  anayejihusisha na kazi ya ukahaba amewashangaza wengi baada ya kuweka video  akilamba choo akiwa kwenye ndege kwa mtandao wake wa Twitter.

Jamaa  huyo ambaye ni gender fluid kumaanisha kuwa anaweza kujihisi  mwanamke au mwanamume kwa kipindi fulani anaokena akiwa ameinama kwenye choo kwa ndege kisha akilamba kwa  ulimi .

Na baada ya haya yote aliandika kwenye mtandao wake wa twitter kuwa alikilimba choo hicho hadi ulimi wake akakufa ganzi.

Tukio hilo limezua gumzo mtandaaoni huku zaidi ya watu milioni 6.25 wakitazama video yake ya sekunde 12.

Total Views: 46 ,