Isco atishia kwenda Barca kwa uhamisho huru.

Kiungo wa klabu ya Real nchini Uhispania Isco Roman , ametishia kukihama klabu hicho kwa uhamisho huru na kujiunga na klabu cha Barcelona ,iwapo itathubutu kumsajili Eden Hazard kutoka Chelsea, ambaye kwa muda sasa amekuwa kaihusishwa na klabu hicho.

Isco raia wa uhispania mwenye umri wa miaka 25 amefunga mabao 11 msimu uliopita baada ya kucheza mechi 42 huku akiwa amesalia na mkataba wa miezi 12.

Total Views: 313 ,