Ingwee Yasaka Huduma za Mganda

Mkufunzi wa klabu ya ingwee ivan Minaaert amesema kuwa ana imani klabu yake itafanya vyema zaidi katika mkondo wa pili wa ligi kuu ya kitaifa huku akipania kumsajili mchezaji tom Misiko kutoka Uganda .

Misiko ni mshambulizi tokea Uganda ambaye amekuwa mot wa kuotea mbali katika ligi ya taifa hilo na ana uwezo wa kucheza safu ya ushambulizi na beki vile vile.

Total Views: 358 ,