Ibrahim kusukuma gurudumu kwa mda

Jaji Mohamed Ibrahim ameteuliwa kuwa kaimu rais wa mahakama ya upeo nchini kufuatia kustaafu kwa Willy Mutunga.

Kabla kuondoka kwake ,Mutunga alisema kuwa jaji Ibrahim ataendesha maswala ya mahakama ya upeo ,huku jaji Paul Kariuki akiendesha maswala ya mahakama ya rufaa na jaji Richard Mwongo akisimamia mahakama kuu.

Dkt Mutunga alitoa hotuba yake ya mwisho kwa mahakama kabla ya kutoweka kutoka kwa ofisi yake.

Mwisho

Total Views: 378 ,