Gotv Yaingia Awamu ya 16

Mabingwa watetezi katika ngao ya Gotv Bandari Fc wamepangiwa kuchuana na klabu ya Bidco katika awamu ya 16 ya kipute hicho,huku mabingwa wa ngao hiyo mwaka 2013 Ingwee wakipimana nguvu na klabu Westetrn stima baada ya kuizamisha kakamega Home boiz wikendi hii.

Mabingwa wa ligi kuu ya kitaifa Gor wamepangiwa kupambana na Nzoia sugar ambao itakumbukwa walibanduliwa katika awamu ya robo fainali na klabu ya muhoroni msimu uliopita,Tusker fc watavaana na Zetech university huku wanajeshi wa ulinzi wakikipiga dhidi ya klabu ya Chemelil…

Total Views: 277 ,