Giafranco Zola Atua chelsea kama naibu Mkufunzi

Mchezaji wa zamani wa klabu cha Chelsea Giafranco Zola amerudi Ugani Stamford bridge kuwajibika kama nabu mkufunzi wa Mouriccio sari aliyetwaa mikoba ya ukufunzi baada ya kuondoka Antonio conte..

Zola ambaye aliwajibika kwa miaka 7 klabuni Chelsea kati ya mwaka 1996 na 2003 anasema anafaurahi kurudi katika klabu yake ya zamana na kusaidia iweze kuleta mafanikio zaidi.

Total Views: 133 ,