Gavana Kingi atangaza vita dhidi ya maambukizi ya HIV Kilifi

Gavana wa kaunti ya Kilifi Amason Jefwa Kingi amewataka wakaazi na viongozi katika kaunti hiyo kulizungumzia wazi wazi swala la janga la ukimwi kutokana na ongezeko la maambukizi ya virusi vinavyosababisha ukimwi.

Akizungumza katika wadi ya kayafungo kaunti ndogo ya Kaloleni wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ,amesema kuwa ni wakati sasa mbapo wakaazi wanafaa kukumbatia njia za kujikinga dhidi ya maambukizi hayo ikiwemo utumizi wa mipira.

Mwisho

Total Views: 785 ,