Gasper Tumaini

Mhariri na hauwezi kumtenganisha na kazi yake ya kusimamia habari za alfajir hadi jioni.

Anajulikana na mashabiki wake wa kipindi cha Dobedobeza kinachotangazwa kwa lugha ya Kimejikenda kama ‘Kabata Kalume’ kuumanisha bata wa kiume anayetetemesha miji kunakoishi jamii hiyo.

Ni mtangazaji mwenye sauti  shupavu na wasikilizaji hupenda jinsi anavyosoma habari.

Anapenda Maharagwe ya nazi na Chapati. Na hawezi kutofoutisha rangi za ‘Purple na Pink.’

Anapenda kutangaza mpira na hushabikia  klabu cha AFC Leopards.

Amesomea uanahabari na alijiunga na Taluma ya utangazaji mwaka 2012.

Total Views: 1563 ,