Francis Baraza ateuliwa Mkufunzi bora mwezi Agosti

Mkufunzi wa klabu ya Chemelil sugar Francis Baraza ametajwa kuwa kocha bora wa mwezi Agosti katika tuzo zinatolewa na klabu ya wanahabari wa michezo baada ya kuiongoza klabu hiyo kushinda mechi 4 mwezi agosti na kupanda hadi nafasi ya 4.

Baraza anakuwa mkufunzi wa 6 kushinda tuzo hiyo ambayo awali ilishindwa na wakufunzi Francis Kimanzi(februari), Ivan Minnaert (Machi), Zedekiah ‘Zico’ Otieno (Aprili), Salim Babu (May) and Henry Omino (Julai).
KIMATAIFA

Total Views: 345 ,