FAHAMU USIOJUA KUMHUSU RICKROSS

 

Rickross aka William Leonard Roberts II ni kati ya marapa wakali tokea nchini marekani na amekuwa mgumzo mitaani siki za hivi karibuni kutokana na show anayotarajiwa kufanya nchini Kenya kwa mara ya kwanza mjini Nairobi.

Lakini unafahamu.

ROZAY

  1. RickRoss Ni Mkristo anaye Sali kila siku jioni na kifungo chake cha bibilia nacho kipenda ni Psalms: 27:1-4.(Zaburi)
  2. Rickross amwahi kufanya kazi kama afisa wa kurekebisha tabia kwa kipindi cha miezi 18 nchini Marekani.
  3. Inasemekana kuwa Rickross hapendi kulala na hulala kwa masaa matatu kila siku.
  4. Rickross ana tattoo 500 mwilini mwake huku tattoo ya kwanza akiwa amechora akiwa na umri wa miaka 13.
  5. Tano kati ya tattoo zake ni picha za marais wa zamani wa marekani ambapo ana picha Bracck Obama, Goerge Washington, George W Bush, Lincoln na Ulysses s. Grant.
  6. Rapper anaye mkubali sana ni ICE CUBE
  7. Kampuni ya REEBOK ilimwondoa kama semaji wake baada ya wimbo wake “U.O.E.N.O.”,kwenye mistari “Put molly all in her champagne/ She ain’t even know it/ I took her home and I enjoyed that/ She ain’t even know it.kusemekana kuwa uliunga mkono ubakaji
  8. Mwaka 2008 Rick Ross alikamatwa kwa kuwa na silaha bila leseni na utumizi wa bangi.
  9. Katika label yake ya MayBatch Music Ricross amewajiri wanawake wengi katika nafasi zote kuu za usimamizi.

Total Views: 377 ,