Eldoret 7’s kuanza Julai

Mashindao ya raga kwa wachezaji 7 kila upande ya Eldoret sevens yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 7 na kisha kukamilka tarehe 9 mwezi ujao mjini humo.

Mashindano haya yanapaniwa kunoa vilabu mbali mbali humu nchini kujianda kwa mashindano ya kitaifa ya raga yatakayofanyika mapema mwezu agosti.

Klabu ya Eldoret RFc,Menengai RFc na University of makuru ndio baadhi yazo zilizotoa hithibati ya kushiriki.

Total Views: 308 ,