Ekaterina Kwa Tuhuma Za Mavazi potovu

Mnenguaji  Ekaterina Andreeva huenda akajipata pabaya kwa kile serikali ya Misri imetaja kuchochea maadili mabovu

Mashtaka dhidi ya Ekaterina Andreeva yapo pamoja na kuvaa nguo zinazokiuka vigezo vilivyowekwa.

Video Andreeva,anayefahamika kwa jina  maarufu kama  Johara, zilisambazwa katika mitandao ya kijamii kwa mujibu wa mtandao wa habari wa Youm7

Habari kutoka  shirika la BBC, zasema  Andreeva ameonekana akicheza katika klabu cha  usiku mjini Gaza, kaskazini mwa Misri na hueda akahukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani.

Total Views: 348 ,