Dimba la CHAN lakaribia huku Mabingwa wakitemwa nje

Huku dimba la CHAN linalotarajiwa kutingwa humu nchini mnamo mwaka 2018 likizidi kukaribia baadhi ya majina makubwa katika kipute hicho yameaga mashindano hayo.

Baadhi ya majina hayo ni Algeria, Misri , Ghana, Afrika kusini na bingwa mtetezi Congo DR wametibuliwa katika mashindano hayo.

Ghana walibanduliwa na Bukinabe 4-3, Zambia wakailima Afrika kusini 4-2, Morocco wakaibandua Misri huku Libywa wakiizima Algeria.

Total Views: 233 ,