Diamond avaa mikufu ya ksh 500,000 kwa wakati Mmoja

MONDE2

Picha ya mapambo  ya Msaani Diamond ya waacha mashabiki wake kinywa wazzi baada ya kupost kwenye instagram Pete na chain ilimgharimu dollar elfu 50 (Ksh 500,000)

“Thanks God for my new GOLD & DIAMONDS collection…i never thought i would be able to hang 50,000$ on my neck,” ameandika kwenye picha ya kwanza.

Kwenye picha nyingine ameandika, “Thanks God for your daily blessings never thought i would be able to walk with 22,000 $ on my Hand!!!… jus get inspired @sallam_sk don’t hate.”

 

Total Views: 605 ,