DIAMOND AKAMATWA NA POLISI

DIAMOND AKAMATWA NA POLISI

Msaani wa Bongo Diamond Platinumuz mapema leo ameandikisha taarifa KKKKKKKKKKKKKKKKKKKkwa  kituo cha polisi baada ya kupost video za Kushangaza kwenye profile yake ya whatsaap

Kwenye video hizo mwanamke wa kwanza anaonekana kuwa mpenzi wake wa zamani Hamisa Mobeto huku mwanamke wa pili akiwa bado hajulikani ni nani.

Aidha tarifa za kukamatwa kwa Diamond zimethibitishwa na  Waziri wa habari na mawasiliano nchini humo Harrison Makwembe ambaye pia ameagiza kukamatwa kwa msaani Nandy ambaye pia video yake akiwa chumbani na msaani Bilnass imewekwa mtandaoni

Total Views: 452 ,