Dereva Apatikana Amebaba Nguruwe mwenye Uzani wa Kilo 125

Afisa wa polisi huko Minnesota Marekani, alimkamata dereva mmoja aliyekuwa anayumba yumba barabarani akifikiri alikuwa mlevi chakari.

Amini usiamini, dereva huyo alipatakana amemubeba nguruwe wa takriban kilo 125 kwenye sehemu yake ya mapaja ambapo  alikuwa ana mtatiza.

Na si hilo tu, pia kulikuwa na nguruwe mwingine  mdogo aliyekuwa amesimama kando yake.

Hatua ya kwanza afisa huyo aliyeichukuwa na kuwapiga picha na kuweka kwenye mtandao wake wa Twitter. 

Total Views: 30 ,