DAZLAH AMWOMBA MSAMAHA LIZZ JASOLJA

 

Msaani Dazlah Kiduche amekiri kuwa ana mkosa sana Lizjasolja ambaye alikuwa mpenzi wake mika miwili iliopita.

Hitmaker huyo wa KIDEDE ambaye kwa sasa amechia single mpya inayofanya vizuri Zigizaga alimshrikisha legendary wa mziki nchini Kenya Juacali amesema kuwa tangu alipoachana na Lizz mziki wake haujakuwa ukifanya vizuri na anahisi iwapo watafufua mahusiano yao huenda mziki wake utaimarika tena.

dazlah

“Sitadanganya ni kweli kuwa namiss sana LizJahsolja ni kitu ambacho nimekiweka moyoni kwa muda sasa, Najua aliko pia anatamani turudishe ule ukaribu wetu japo na hisi nilimkosea naomba anisamahe angalau moyo wangu utulie” – Dazlah Kiduche

Total Views: 48 ,