David Mwaringa

Mwaringa ni muugizaji(actor), MC na Msanii wa Mijikenda single Hit ‘Dama.’

Aliimba kibao hiki baada ya kutorokwa na mpenzi wake siku ya Valentine. Anaposhiriki kwenye road shows, wasikilizaji humrai kuimba.

Mtangazaji wa kipekee aliye na sauti nzito na majina mengi kwenye redio. Mashabiki wake humuita David Mtana wa Mwaringa, Sauti nzito babake barisiosio kwa wakati mmoja.

Yeye anapenda kufanya mahojiano na kuweka hali halisia ya taswira ya jamii mashinani.

Kutana naye kwenye kipindi Burudani Mseto saa mbili usiku hadi usiku wa manene.

Total Views: 2033 ,