Chuo kikuu cha Pwani chafungwa

CHUO CHAFUNGWA

Chuo kikuu cha Pwani kimefungwa kwa mda usiojulikana kutokana na kile kinachotajwa kuwa hatua ya wanafunzi kupinga muongozo mpya wa chuo hicho unaowataka kulipa karo yote kabla ya kufanya mtihani.

Kwenye barua iliyobandikwa katika ubao wa chuo hicho iliyokuwa na saini ya naibu chansela wa chuo hicho Prof M.S.Rajab iliwataka wanafunzi wote kuondoka chuoni humo mara moja bila kupeana maelezo zaidi ya ni kwa nini walistahili kuondoka.

Hata hivyo baadhi ya wanafunzi tuliozungumza nao wamelalamikia hatua hiyo wakiitaja kuwa kizuizi dhidi ya kupiga hatua katika masomo yao sawia na kuwapotezea mda unaohitajika kabla ya kukamilisha masomo yao.

Hata hivyo juhudi zetu za kutaka kuongea na wasimamizi wa chuo hicho ili kubaini maelezo zaidi kuhusu barua hiyo ziligonga mwamba.

Mwisho

 

 

Total Views: 768 ,

5 thoughts on “Chuo kikuu cha Pwani chafungwa

 • April 18, 2016 at 11:33 am
  Permalink

  Hongela sana pwani fm ledio yetu.,mie nikiwa mgeni humu ila tu nashukulu ,naomba ledio ishamili mbele vipindi na matangazo.Hata mngepatikana kila sehemu ya nchi tupate laha zenu kongole,nawapata kwenye mtandao.

  Reply
 • April 18, 2016 at 11:42 am
  Permalink

  daah mwanehu nahenza hata mashaiili kwa taalabu hata qur’ani kwa luhuza za wenyeewe .poa.

  Reply
 • April 18, 2016 at 11:49 am
  Permalink

  na kenya yetu sii yetu ukiona ugufunzi ni yetu wakati wa kura.,lakini masikini akipata,ngoma hulia mbwaata haki sii tendo mwangu tutabaki mifupa asemavyo baba r.

  Reply
 • April 18, 2016 at 11:54 am
  Permalink

  ahsante kwaheli tukuta kesho majaaliwa ya maulana sabalkheir kwa wote.

  Reply
 • April 18, 2016 at 11:54 am
  Permalink

  ahsante kwaheli tukuta kesho majaaliwa ya maulana masalkheir kwa wote.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *